Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Kissa Kasongwaamesikitishwa baada ya kuona Watoto jamii ya Wamasai katika Kijiji cha Nainyogie wakisoma katika darasa la miti na kutatua tatizo hilo mara moja kwa kuwatafuta Wafadhili kwa ajili ya ujenzi wa madarasa.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment