We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, September 16, 2019

Alichokisema Prof Jay kuhusu kauli ya Paul Makonda

Leo, tumezungumza na Mbunge anayesimamia watu na wanyama katika jimbo la Mikumi Mh. Prof Jay, ambapo ametoa maoni kuhusu kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh. Paul Makonda kuwa watumishi wa Mungu wahubiri hadi kwenye kumbi za starehe.

"Ngoja tuone kwanza ianze halafu baadaye ndiyo tutajua tuta-comment kitu gani kitakachoendelea lakini kwa mimi sioni kama itaenda kufanikiwa kwa sababu bahati nzuri au mbaya mkuu wetu wa mkoa amekuwa anaongea vitu vingi sana ambavyo havitekelezeki sasa nataka nione kwa hili amaejipangaje".
Prof Jay ameendelea kusema tunaweza kubeza kama haiwezekani baadae akafanikiwa ngoja baada ya muda tuone ana mipango gani na sasa hivi dunia imebadilika unahitaji kupata neno la Mungu mahali popote ila kwenye klabu itakuwa shuguli nzito sidhani kama linawezekana. amesema Prof Jay.
Aidha Prof Jay ameachia kazi yake aliyoshirikiana na ndugu zake wawili Black Rhyno, Donkoli, Mr Teacher na Simple X iitwayo kaza.
CREDIT: EATV

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list