We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Saturday, August 3, 2019

YUSUPH MANJI ADAIWA KUKAMATWA NA POLISI MAREKANI KWA TUHUMA ZA MADAWA YA KULEVYA

BILIONEA maarufu hapa nchini na aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Yusuf Manji inasemekana yupo chini ya mikono ya polisi tangu Julai 29, 2019 katika kaunti ya  Seminole Jimbo la Florida nchini Marekani.
Inadaiwa Manji ameshikiliwa na polisi kwa tuhuma za matumizi ya madawa ya kulevya.

Hii ni kutokana na kuwepo kwa uthibitisho wa kukamatwa kwake kupitia mtandao wenye taarifa zote za wahalifu wanaokamatwa nchini Marekani “Arrests.org”

Bilionea huyu mwenye umri wa maika (43) amewahi kuwa mwenyekiti wa Klabu ya Yanga na diwani wa kata ya Mbagala.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list