Msafara wa kikosi cha Yanga umewasili salama jijini Dar es salaam ukitokea kambini mkoani Morogoro
Yanga iliweka kambi ya takribani wiki tatu mkoani Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya na mchezo wa kilele cha wiki ya Mwananchi dhidi ya Kariobangi Sharks August 04
Shamrashamra za mapokezi ya Yanga zilianzia Kibaha, ambapo msafara wa timu hiyo ulisindikizwa kwa maandamano mpaka jijini Dar es salaam
Yanga imejichimbia kwa muda Hotel ya Nefaland, ikifanya maandalizi ya mwisho kabla ya kuikabili Kariobangi Sharks

No comments:
Post a Comment