Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe leo ataweka jiwe la msingi uwanja wa klabu ya Simba ulioko Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam
Hafla hiyo inatarajiwa kuanza saa nne asubuhi
Uongozi wa klabu ya Simba umewataka wapenzi, mashabiki na wanachama wake wajitokeze kwa wingi kushuhudia tukio hilo la kihistoria

No comments:
Post a Comment