We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, August 21, 2019

Wanasayansi mbioni kumuwekea binadamu Moyo wa Nguruwe ili kuishi


Wanasayansi kutoka Marekani na Ujerumani wamesema kipindi cha miaka mitatu ijayo, wataanza kutumia Moyo wa Nguruwe kuokoa maisha ya binadamu ambao wanahitaji moyo ili kuishi.

Majaribio ya kupandikiza moyo wa nguruwe kwa nyani yamefaulu kwa zaidi ya miaka miwili na wanasayansi hao wanaamini utakuwa salama kwa binadamu.

Upandikizaji wa moyo wa nguruwe unaweza kuokoa maisha ya wengi kila mwaka ambao hufariki kutokana na ukosefu wa viungo vya binadamu kwa upandikizaji.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list