We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, August 29, 2019

“Wamechagua kufa, ni mkong’oto usiku kucha, walitaka kumuua Mkuu wa Wilaya

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamilaamesema Wananchi wote waliohusika kuushambulia kwa mawe Msafara wa Mkuu wa Wilaya ya Kyela Claudia Kitta na timu nzima ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo watachukuliwa hatua kali kwani walidhamiria kuwaua Viongozi hao.
“Ni mkong’oto usiku kucha, sababu walirusha mawe na walidhamiria kumuua Mkuu wa Wilaya hawa wamechagua kuuawa wao, hili sio kinyume cha Haki ya Binadamu, haki ya binadamu alipaswa kuwa nayo yeye kabla hajampiga au hajaharibu lile gari” RC Mbeya
“Kikosi kazi kisitoke mpaka nione furaha imejaa moyoni, nawaambia ukweli na hapa bado sijakunjua kikosi kingine, hapa Mbeya kuna kikosi kipo Itende vimenyamaza, tunasubiri watu wajikunjue tupige king’ora cha mwisho” RC Mbeya

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list