Muda mchache ujao mashabiki wa Yanga wataishuhudia timu yao mpya kwa mara ya kwanza ikishuka uwanja wa Taifa kuumana na Kariobangi Sharks katika mchezo wa kuadhimisha kilele cha wiki ya Mwananchi
Mashabiki wamejitokeza kwa wingi uwanjani, hakika historia leo itaandikwa
Wachezaji wote wanatarajiwa kushiriki mchezo huo ambao ni maalum kwa ajili ya kutambulisha kikosi cha Yanga cha msimu wa 2019/20
Kikosi cha kwanza kitakachoanza kinatarajiwa kuwa hivi;
1. Farouk Shikalo
2. Mustafa Suleyman
3. Mwarami Mohammed 'Marcelo'
4. Ally Mtoni
5. Lamine Moro
6. Papi Tshishimbi
7. Mapinduzi Balama
8. Mohammed Issa 'Banka'
9. Sadney Urikhob
10. Juma Balinya
11. Patrick Sibomana

No comments:
Post a Comment