We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, August 16, 2019

Tetesi: Huu ndio uongozi mpya wa klabu ya Simba

Hivi karibuni klabu ya Simba ilitangaza nafasi mbalimbali za kazi ukiwa ni mpango wa Bodi ya Wakurugenzi ya timu hiyo kuunda safu ya uongozi itakayoendesha timu hiyo kisasa
Miongoni mwa mabadiliko yanayosubiri kutangazwa ni pamoja na nafasi ya Mtendaji Mkuu wa Simba ambayo sasa inashikiliwa na Crescentius Magori ambaye hata hivyo mkataba wake umemalizika na aliombwa kuendelea na majukumu yake mpaka pale Mtendaji mpya atakapopatikana
Senzo Mazingisa raia wa Afrika Kusini ndiye anayetajwa kusubiri kutangazwa kuwa Mtendaji Mkuu wa Simba
Kitengo cha Habari inaelezwa kitaongozwa na Mwanahabari Gift Macha ambaye kwa sasa ni mchambuzi wa soka wa kituo cha Runinga cha Azam
Hashim Mbaga atakuwa Meneja wa Mwanachama, Rehema Lucas atakuwa Ofisa Meneja huku Rabi Lumwe akiwa Meneja wa Habari upande wa mitandao ya Kijamii
Kuhusu nafasi ya Haji Manara, inaelezwa atapangiwa majukumu mengine

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list