Mamilioni yameendelea kumwagika Msimbazi baada ya leo wadhamini wakuu kampuni ya Sportpesa kuwakabidhi simba hundi ya Tsh Milioni 100 zikiwa ni fedha za bonus
Simba imekabidhiwa fedha hizo mbele ya viongozi wake pamoja na wachezaji ambao walifika Makao Makuu ya SportPesa wakiambatana na taji la ligi kuu walilotwaa msimu uliopita

No comments:
Post a Comment