Kampuni ya Taifa Gas inayomilikiwa na Bilionea Rostam Aziz ni mmoja wa wadhamini wa klabu ya Yanga msimu huu
Rostam ambaye aliichangia Yanga Tsh Milioni 200 kwenye Kubwa Kuliko, ameahidi kuendelea kumwaga mamilioni kupitia udhamini huo
Nembo ya Taifa Gas tayari imeongezwa kwenye jezi za Yanga
Uongozi wa Yanga utaweka hadharani kiasi cha pesa ambazo wataingiza kupitia udhamini huo

No comments:
Post a Comment