We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, August 20, 2019

RC Mwanri kaliaamsha dude “tembeza mkong’oto kichwa kilie kama ngoma ya daku” (+video)

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanriameshiriki mapokezi ya Kamanda wa Polisi katika hafla iliyoandaliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora ambapo amelitaka Jeshi  hilo kuhakikisha linaweka ulinzi wa kutosha kwa raia katika maeneo ambayo yanaviashiria vya uvunjifu wa amani.
“Tutawashinda hawa watu kutokana na uhalali wa vita vyenyewe watu wawili hawawezi kutusumbua tutatembeza mkong’oto juu ya kichwa kilie kama ngoma ya daku” RC Mwanri

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list