Wachezaji wa Simba wakiwa na viongozi pamoja na benchi la ufundi, leo wametembelea Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es salaam kuwajulia hali wagonjwa pia kutoa misaada mbalimbali
Katika kipindi hiki cha maadhimisho ya SportPesa Simba Week, Simba imeendelea kusaidia jamii kupitia shughuli mbalimbali zinazofanywa na wadau wake

No comments:
Post a Comment