We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, August 29, 2019

Nyota watano Simba kuikosa JKT Tanzania leo

Wakati Simba ikitarajiwa kushuka uwanja wa Uhuru leo kuanza utetezi wa ubingwa wake kwa kuumana na JKT Tanzania, wachezaji watano wa timu hiyo wana hatihati ya kutocheza kutokana na sababu mbalimbali
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema nahodha John Bocco anaendelea na matibabu ya majeraha aliyopata kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam Fc
Kiungo Jonas Mkude bado anaumwa, anasumbuliwa na Malaria
Wengine ni Wilker Da Silva ambaye ni majeruhi wa muda mrefu, Shomari Kapombe na Paschal Wawa wao walipata majeraha kwenye mchezo dhidi ya UD Songo
Hata hivyo wachezaji hao jana walifika mazoezini, lakini walijifua chini ya uangalizi wa daktari wa timu
Aidha, Aussems amesema nafasi za wachezaji hao zitazibwa na wachezaji wengine walioandaliwa

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list