Walinzi Haruna Shamte, Oscar Masai na mlinda lango Mohammed Yusufu, wameongezwa kikosi cha timu ya Taifa kinachojiandaa na mchezo wa marudiano dhidi ya Kenya 'Harambee Stars'
Shamte inaelezwa jana alisaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba akitokea klabu ya Lipuli Fc
Kiraka huyo anayemudu kucheza nafasi zote za ulinzi pamoja na kiungo, atatumika kwenye nafasi ya ulinzi wa kulia
Wachezaji hao wameongozwa kuchukua nafasi za Aishi Manula, David Mwantika na Ibrahim Ajib ambao ni majeruhi
No comments:
Post a Comment