We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, August 5, 2019

Mo Dewji awapiga vijembe Yanga SC ‘Pesa tunazo, Wenzetu ni timu ya Wananchi basi Simba ni timu ya watu’ (+video)

Mfanyabiashara na muwekezaji ndani ya klabu ya Simba, Mo Dewji amesema kuwa anakusudia kununua timu inayoshiri Ligi daraja la kwanza na kuibadilisha jina iitwe Simba, Na ishiriki kwenye ligi hiyo ili kusaidia wachezaji wanaotoka Simba B kushiriki kwenye mashindano hayo.

Mo Dewji ameyasema hayo leo Jumatatu Agosti 5, 2019 kwenye hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa kiwanja cha Klabu ya Simba eneo la Boko jijini dar es Salaam.
Kwa upande mwingine,  Mo amewataka mashabiki wa Simba wajitokeze kwa wingi Uwanja wa Taifa katika kuadhimisha Simba Day.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list