We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, August 5, 2019

Mo ajitolea kujenga uwanja wa Bunju, awaalika wadau kuongeza nguvu

Mwekezaji wa klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amesema ujenzi wa uwanja wa mazoezi wa Simba anaufanya kwa fedha zake mwenyewe na haupo kwenye mpango wa Bilioni 20 za uwekezaji
"Uwanja huu unajengwa kwa bajeti inayojitegemea tofauti na ile Tshbilioni 20 ambazo nilisema nitawekeza"
"Ninachotaka tuwe na miundombinu mizuri na tunajenga viwanja viwili ambapo kimoja ni cha nyasi bandia na kingine ni cha nyasi asilia,"
Aidha Mo amesema amefarijika kuona mashabiki na wanachama wengi wamekuwa tayari kushiriki kwenye mradi huo
"Tutaandaa utaratibu wa kuwashirikisha wadau wote kupitia michango yao ili itumike awamu ya pili ya ujenzi ambayo itahusisha ujenzi wa Hostel na maeneo muhimu ya huduma kwa ajili ya wachezaji"

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list