Kiungo mkabaji wa Simba Jonas Mkude leo hakuhudhuria mazoezi ya mabingwa hao wa Tanzania Bara yaliyofanyika uwanja wa Gymkhana jijini Dar es salaam
Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema Mkude amepata Malaria hivyo anaendelea na matibabu
Mkude hatarajiwi kuwa sehemu ya kikosi cha Simba ambacho keshokutwa kitaanza kampeni ya kutetea ubingwa kwa msimu wa tatu mfululizo
Simba itacheza na JKT Tanzania siku ya Alhamisi, August 29 2019

No comments:
Post a Comment