We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, August 5, 2019

Mambosasa “mafuruku bodaboda kuingia katika ya Jiji” (+video)

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSMLazaro Mambosasa amepiga marufuku waendesha pikipiki maarufu kama (bodaboda) kuingia katikati ya Jiji la DSM kuanzia kesho Agosti 6 2019 mpaka hapo mkutano wa nchi za kusini mwa Afrika (SADC) utakapoisha.
Akizungumza na Waandishi wa habari Mambosasa amesema “Katika kipindi hiki cha mkutano wa SADC Jeshi la polisi kanda maalum DSM linapiga marufuku pikipiki (Bodaboda )zote kuingia/kufika maeno yote ya katikati ya Jiji kuanzia August 06 hadi August 18,2019, Kutokana baadhi ya bodaboda kujihusisha na vitendo vya uhalifu”Mambosasa
“Polisi inapiga marufuku kuweka taa za vimulimuli au za rangi rangi, taa zenye mwanga mkali (spot light) na kufunga ving’ora kwenye magari ya kiraia au watu binafsi na pikipiki za kiraia, isipokuwa magari yanayotoa huduma za dharura tu na ya makampuni binafsi ya ulinzi” Mambosasa

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list