We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Sunday, August 18, 2019

JPM SADC: “Tanzania Ina Warembo Wengi, Tumieni FURSA” -VIDEO

Rais Magufuli leo akitoa hutoba katika mkutano wa 39 SADC amesema kuwa Tanzania ina warembo wengi na wanaume watanashati wengi kwa hiyo tumieni fursa kwa wenye kutaka kuoa na kueolewa Tanzania ina wanawake wengi warembo na wanaume watanashati tele, waheshimiwa viongozi wageni waalikwa mabibi na mabwana hivyo tumieni fursa hiyo msiondoke hivihivi.


No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list