Yanga imedhamiria kufanya kweli nchini Botswana kwenye mchezo wa marudiano michuano ya ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers
Uongozi wa timu hiyo umeandaa mabasi matatu ambayo yatapeleka mashabiki Botswana kuongeza nguvu katika mchezo huo utakaopigwa Jumamosi August 24
Gharama ya safari hiyo ni Tsh 350,000/- ikiwa ni nauli ya kwanda na kurudi
Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuondoka keshokutwa kuelekea Afrika Kusini ambako kitaweka kambi ya siku chache kabla ya kwenda Botswana
No comments:
Post a Comment