We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, August 1, 2019

'Jezi mpya za Simba SC zawatibua Wazee'


Mzee wa klabu ya Simba Chahal Chahali amesema kuwa jezi zilizozinduliwa jana kwa ajili ya matumizi ya msimu huu kuwa si rangi za klabu hiyo maana wao wana rangi mbili nyekundu na nyeupe.

Hapo jana Kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya UHL Sport Dubai litangazwa kushinda tenda ya kutengeneza jezi za klabu ya Simba SC kwa ajili ya msimu wa 2019/2020 ambapo klabu hiyo imeingia rasmi mkataba wa miaka miwili na kampuni hiyo.

"Simba inavaa jezi ya njano kweli?, hayo mambo yametoka wapi. Rangi ya yetu ni nyekundu na nyeupe, leo zimetoka jezi hizi mpya za rangi ya njano, hizo na nyeusi wanavaa Yanga," amesema Mzee Chahal akiwa na Mzee Kilomoni.

Kwa mujibu wa Mtendaji Mkuu wa Simba Crescentius Magori, mkataba walioingia na UHL Sport kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo unafaida kuliko mikataba yote ya nyuma ambayo Simba imewahi kuingia.
.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list