We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, August 20, 2019

CAG Aibana Halimashauri Ya Wilaya Ukerewe Upotevu Wa Mabilioni

Ofisi ya Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) mkoani Mwanza imeitaka Halimashauri ya Wilaya ya Ukerewe kufanyia kazi hoja 110 za ukaguzi zinazotilia shaka ukusanyaji mapato , matumizi ya fedha na upotevu wa zaidi ya shilingi Bilioni 3.4 pamoja na kiasi cha shilingi bilioni 1 za matumizi ya ziada.

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list