Yanga imesonga raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya kuichapa Township Rollers bao 1-0 katika mchezo uliopigwa dimba lao la Taifa huko Botswana
Mpira wa adhabu uliopigwa na Juma Balinya kwenye dakika ya 40 umeihakikishia Yanga ushindi muhimu ugenini
Aidha mlinda lango Metacha Mnata nae alifanya kazi yake vyema kwenye dakika ya 64 baada ya kuokoa mkwaju wa penati wa Rollers
Ni ushindi uliopiganiwa na wachezaji pamoja na benchi la ufundi
HONGERA YANGA, HONGERA TANZANIA
No comments:
Post a Comment