Baada ya kuwasili mkoani Arusha mapema leo, kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Township Rollers
Aidha kesho Yanga itachuana na AFC Leopards ukiwa ni mchezo wa kirafiki
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...
No comments:
Post a Comment