Beki kisiki wa Yanga Kelvin Yondani ametangaza kustaafu kuichezea timu ya Taifa muda mfupi baada ya kurejea kutoka Misri
Yondani alikuwemo kwenye kikosi cha Stars kilichoshiriki michuano ya Afcon kwa mara ya pili katika historia mwaka huu
Stars imeshindwa kuvuka hatua ya makundi baada ya kufungwa michezo yote
Yondani ni mmoja wa wachezaji waliocheza timu ya Taifa kwa muda mrefu rekodi zikionyesha amecheza Stars kwa zaidi ya miaka 10
Ameungana na kiungo Erasto Nyoni ambaye naye ametangaza kustaafu

No comments:
Post a Comment