We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Wednesday, July 3, 2019

Waziri afunguka “Nimekamata makontena 500 Bandarini” (+video)

Leo July 3, 2019 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amezungumza na Waandishi wa habari mambo mbalimbali ikiwemo juu ya kontena 500 ambazo amezikamata katika bandari ya DSM.
“Nimekamata juzi kuna mzigo wa Makontena 500 na meli zinakuja walitaka iende Bandari nyingine kisa eti huku tumezuia zisiende kwenye ISD, huo ni uongo na ni uongo wa mchana, makontena yaingia kwenye ISD kama kawaida” Waziri Kamwelwe

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list