We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, July 8, 2019

VIDEO:Diamond Platnumz Awazawadia Magari ya Bei Mbaya Mama yake Mzazi na Mpenzi Wake Tanasha


STAA wa Bongo Fleva , Nasib Abdul ' Diamond Platnumz' amefanya kufuru kwa kuwazawadia magari mama yake mzazi , Sanura Kassim ' Sandra ' .pamoja na mpenzi wake Tanasha

Diamond amefanya hivyo wakati wa bethidei ya kutimiza miaka 52 Mama yake na Mpenzi wake Tanasha kutimiza miaka 24

Gari zilizotolewa ni aina ya Toyota Prado V8

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list