Jana July 29, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amemteua Dr. Elirehema Joshua Doriye kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Doriye anachukua nafasi ya Sam Kamanga ambae uteuzi wake umetenguliwa.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment