We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Sunday, July 7, 2019

UHALIFU: Polisi Dodoma wamuua mtuhumiwa sugu wa ujambazi

Jeshi la polisi mkoani Dodoma limefanikiwa kumuua mtuhumiwa sugu wa ujambazi, Sostenes Muganyizi akiwa na bastola ya serikali iliyokuwa na risasi kumi ndani yake. Kwa mujibu wa RPC wa Dodoma, Gilles Muroto, mtuhumiwa huyo aliuawa kwenye majibizano ya risasi na askari katika Kijiji cha Ubembeni wilayani Kondoa.

Bonyeza play hapa chini kutazama zaidi pia tembelea app hii kila Mara kusoma habari mpya

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list