Baada ya kuichapa Orbit Tvet mabao 4-0 jana, leo Simba inashuka tena dimbani kuumana na Platinum Stars
Mchezo huo utaanza saa 5:30 asubuhi kwa saa za hapa Tanzania ikiwa ni saa nne na nusu huko Afrika Kusini
Baada ya mchezo wa leo, Simba itacheza michezo mingine miwili dhidi ya Township Rollers na Orlando Pirates
No comments:
Post a Comment