Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini (Chadema) Godbless Lema amehoji aliyekuwa Katibu Mkuu mstafuu wa Chama cha Mapinduzi ( CCM), Abdulrahman Kinana leo ni mpumbavu.
Lema aliandika ujumbe mfupi katika ukurasa wake wa kijamii wa Twitter ambao unaosomeka hivi ” Abdulrahman Kinana leo ni mpumbavu???,”.
Bashiru amewaonya wana CCM ambao watabainika kufanya malumbano ya kutafuta kiki za kisiasa kwa kile kinachoendelea atawafukuza.
Aidha, amesema ligi iliyotengenezwa sio saizi yao na kusisitiza kuwa CCM ni chama madhubuti na viongozi wake wapo imara.
No comments:
Post a Comment