Baada ya mkataba wa mwaka mmoja kati ya klabu ya Simba na kinywaji cha Mo Energy kumalizika, klabu hiyo imesaini mkataba mwingine wa udhamini kwa miaka miwili na kampuni ya MeTL group kupitia kinywaji cha Mo Xtra.
Mkataba huo umesainiwa leo chini ya CEO wa Simba Crescentius Magori na Mkurugenzi wa masoko wa MeTL group Fatema Dewji.
No comments:
Post a Comment