Kiraka Haruna Shamte inaelezwa kuwa amemalizana na uongozi wa Simba akisaini mkataba wa miaka miwili kuwatumikia mabingwa hao wa Tanzania Bara
Shamte anayemudu vyema kucheza nafasi ya ulinzi na kiungo, msimu uliopita aliitumikia Lipuli Fc
Dirisha la usajili Tanzania litafungwa leo saa 5:59 usiku, Shamte anatajwa kukamilisha usajili wa Simba kwa wachezaji wa ndani
No comments:
Post a Comment