Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasili Salasala Jijini Dar es Salaam, kutoa pole kwa familia Mbowe kufuatia kifo cha Meja Jen. Mstaafu Alfred Lameck Mbowe (Kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe), aliyefariki Dunia juzi July 28, 2019.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment