Peru yafanikiwa kutinga fainali za Kopa Amerika baada ya kuifunga Chile magoli 3-0. Mchezo huo ulipigwa katika uwanda wa Gremio katika mji wa Porto alegre nchini Brazil.
Fainali za Kopa Amerika zinaandaliwa na shirikisho la mpira wa miguu la Amerika ya kusini (CONMEBOL). Mashindano ya mwaka huu yanayofanyika nchini Brazil ni mashindano ya 46.
Magoli ya Peru katika mchezo huo yalipatikana dk 21 kupitia Edison flores, dk 38 kupitia kwa Yoshimar Yotun na dk 90+1 kupitia kwa Paolo Guerrero. Chile ilishindwa kuitumia nafasi ya penati iliyoipata dk 90+5 baada ya Eduardo Vargas kukosa penati.
Kwa matokeo hayo fainali za michuano hiyo zitaikutanisha Peru na Brazil na itachezwa mnamo Julai 7, siku ya Jumapili saa 23.00 TSI.

No comments:
Post a Comment