Yanga inatarajiwa kuanza mazoezi ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu ya Tanzania Bara pamoja na michuano ya Kimataifa wiki ijayo, Julai 07 2019
Nyota wa zamani na wapya waliosajiliwa na mabingwa hao wa kihistoria wanatarajiwa kuanza kuwasili mwanzoni mwa wiki hii
Yanga inatarajiwa kuanza mazoezi ikiwa chini ya kocha Msaidizi Noel Mwandila
Kocha Mkuu Mwinyi Zahera bado yuko Misri na timu ya Taifa ya DR Congo baada ya timu hiyo kufuzu hatua ya 16 bora kupitia nafasi ya 'best looser'

No comments:
Post a Comment