We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, July 30, 2019

'Namjua aliyedukua sauti yangu' - Membe

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi Bernard Membe, amesema sauti zilizovuja hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii ikihumusisha yeye akifanya mazungumzo na mtu asiyefahamika wakijadili juu ya sintifahamu ndani ya CCM ni ya kwake.

Membe ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na vyombo habari, ambapo amesema ni kweli sauti iliyodukuliwa na kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii ni ya kwake asilimia 100 huku akiomba Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kuingilia kati suala hilo.
"Sauti ni za kwangu ni mimi 100 kwa 100, na nimeifanyia kazi na ninajua imetoka wapi kwa sababu nina miiko ya kuuzingatia sisemi", amesema Membe.
"Ni sauti yangu kabisa na ninaelewa kila kilichotokea unaweza kuingia ugonjwa wa udukuzi, kama wale wanaotoa taarifa hizi za udukuzi hawachukuliwi hatua, wadukuzi wako duniani wanataka fedha tu", amesema Membe.
Hivi karibuni akizungumza na EATV/EARadio Digital IGP Simon Sirro amesema wanafuatilia suala la sauti hizo na endapo wakigundua kuna kosa la jinai wahusika watafikishwa mahakamani.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list