We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Thursday, July 25, 2019

Mwanri amuambia Jafo “Tutamtia msukosuko, undava undava sukuma ndani” (+video)

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanriamemwambia Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jafo kuwa Mkoa wake hautamvumilia Kiongozi yoyote atakayetumia fedha za Serikali kwa ajili ya miradi ya maendeleo kujinufaisha.
“Kuna kuna mtu amekuja hapa kujitajirisha awe na hakika Mkoa huu sio mahali pake atupishe aondoke kuna watu tumewasimamisha kazi na wengine wamezimia sisi tuasonga mbele” RC Mwanri

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list