Wadau wa afya kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wamefika Mkoani Kagera kwa ajili ya kutathimini utayari wa Mkoa juu ya kujikinga na ugonjwa wa Ebora.
Mwakilishi wa Wizara ya Afya ameitaja Mikoa ambayo inaweza kupata ugonjwa huo haraka hapa Tanzania.
No comments:
Post a Comment