We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, July 5, 2019

Mhilu atua Kagera Sugar

Winga Yusufu Mhilu amesajiliwa na Kagera Sugar kwa mkataba wa mwaka mmoja
Msimu uliopita Mhilu alitolewa kwa mkopo kunako klabu ya Ndanda Fc
Hata hivyo kinda huyo hayumo kwenye mipango ya kocha Mwinyi Zahera hivyo uongozi wa Yanga kumruhusu akaendeleze maisha yake ya soka mahali pengine
Mhilu ameungana na Geofrey Mwashiuya, winga wa zamani wa Yanga ambaye ametua Kagera Sugar kwa mkataba wa mwaka mmoja pia

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list