Waziri Prof. Paramagamba Kabudi leo July 24, 2019 akiongea Ikulu wakatai wa makabidhiano ya dhahabu na fedha amenukuliwa akisema “Nitaomba Rais baada ya vikao vya SADC niende Kenya kumsalimu ndugu yangu Waziri Monica na mimi nitatafuta shughuli ya kukualika (Waziri Monica) Mwanza”
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment