Leo July 30, 2019 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli ameungana na familia ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe katika sala ya pamoja ya kumuombea Marehemu Meja Jen. Mstaafu Albert Lameck Mbowe.
We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.
Subscribe to our RSS feed to stay updated on our progress.
No comments:
Post a Comment