Simba tayari imekamilisha usajili wake wa safu ya ulinzi upande wa kushoto baada ya kumpa mkataba wa miaka miwili Gadiel Michael aliyekuwa Yanga
Ujio wa Gadiel umemuondoa kikosini beki Asante Kwasi ambaye mkataba wake unamalizika mwezi ujao
Hata hivyo Kwasi huenda akaendelea kubaki nchini baada ya kuwepo taarifa kuwa atajiunga na Biashara United inayonolewa na Amri Saidi
Amri aliwahi kufanya kazi na Kwasi wakati akiwa klabu ya Lipuli Fc

No comments:
Post a Comment