Simba tayari imeshamalizana na kiungo wa Gor Mahia Francis Kahata ambaye anasubiriwa kujiunga na Simba baada ya michuano ya Afcon
Taarifa za ndani zimebainisha kuwa Kahata atasaini mkataba wa miaka mitatu ambao utamfanya alipwe mshahara wa Tsh Milioni 7.7 kwa mwezi
Aidha kiungo huyo fundi amesajiliwa kwa dau la usajili linalofikia Tsh Milioni 90
Kahata atatua Simba kuchukua nafasi ya Mnyarwanda Haruna Niyonzima ambaye ameachwa

No comments:
Post a Comment