BAADA ya mlinda mlango namba mbili wa Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ kuwaaga mashabiki wa Simba, sasa huenda akarejea kukipiga tena Afrika Kusini.
Dida alisajiliwa na Simba akitokea Amatuks ya Afrika Kusini kwa kandarasi ya mwaka mmoja ambayo tayari imemalizika.
Habari zimeeleza kuwa Dida ambaye ameshaaga ndani ya kikosi hicho baada ya ujio wa kipa Beno Kakolanya ameamua kutimka moja kwa moja kurejea Afrika Kusini.

No comments:
Post a Comment