We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Monday, July 1, 2019

Davido na Wizkid wamaliza utata

Mastaa wawili kutokea nchini Nigeria na Africa kwa ujumla Davido na Wizkid, wamemaliza utata wao baada ya kupanda kwenye jukwaa moja.

Wawili hao walikua pamoja jijini Amsterdam nchini Uholanzi wikiendi iliyopita kwa shughuli zao tofauti. Davido alienda kwa ajili ya tamasha na Wizkid alikua anazindua bidhaa zake za nguo.
Davido alienda katika uzinduzi wa nguo wa  Wizkid , na Wizkid alienda kwenye tamasha la Davido na kuimba pamoja nyimbo zao.
Mastaa hao wameondoa utata uliokuwepo kwa mashabiki zao, kwamba wanatofauti kutokana na ushindani mkubwa  walionao katika muziki.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list