We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Tuesday, July 9, 2019

COASTAL YAJITOSA KWA DIDA

WAKATI Usajili ukiendelea inadaiwa kuwa Klabu ya Coastal Union ya Tanga inajaribu kutupa karata zake kwa aliyekuwa kipa wa Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ ambaye kwa sasa ni mchezaji huru.

Dida Amemaliza mkataba na Simba ambayo amejiunga nayo kwa msimu mmoja pekee na kwa sasa ni mchezaji huru.

Hata hivyo, Coastal kwa sasa inadaiwa ipo kwenye mpango wa kutaka kumnasa kipa huyo endapo mambo yatakwenda sawa.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list