Aliyekuwa beki wa kushoto wa Yanga Gadiel Michael ametambulishwa rasmi baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili
Usajili wa Gadiel ulikuwa ukisubiri utambulisho tu kwani kila kitu kilishakamilika
Usajili huo umekamilisha safu ya ulinzi upande wa kushoto Gadiel akichukua nafasi ya Asante Kwasi

No comments:
Post a Comment