We are currently working on a new website.
Stay tuned for more information.

to stay updated on our progress.

Friday, July 12, 2019

“Askari hawa wanatuharibia, RPC chukua hatua dhidi yao”-Naibu Waziri Masauni

Wakazi wa Kijiji cha Kangeme Kata ya Uloa Wilayani Ushetu Mkoani Shinyanga wamelalamikia baadhi ya Askari Polisi kuvujisha siri za taarifa kwa wahalifu  hali inayopelekea wananchi kutotoa taarifa za kiuhalifu kwa Jeshi hilo wakihofia usalama wao. Wamezungumza hayo wakati wa Mkutano wa hadhara mbele ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Eng. Hamad Masauni aliyeamua kufanya ziara katika kijiji hicho baada ya kukithiri kwa matukio ya kiuhalifu ikiwemo Uporwaji wa fedha,Matukio ya Ubakaji  na Uvunjwaji wa Nyumba.
Baada ya kusikiliza malalamiko hayo Eng. Masauni akatoa maagizo kwa Kamanda wa Polisi mkoa pamoja na OCD kuhakikisha Wanawachukulia hatua za kinidhamu Askari wote watakaobainika kujihusisha na matendo hayo.

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Report Abuse

About Me

TAARIFA MPYA KUHUSU APP YETU KAMA BADO HUPATI HABARI ZETU

Habari!! Ni kipindi cha takribani wiki 1 kimepita ukiwa hupati habari, tunaomba radhi kwasababu tumekuwa tukifanya maboresho zaidi. Leo ...

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

Labels

Mobile Logo Settings

Mobile Logo Settings
image
recent/hot-posts

Random Posts

3/random/post-list

Recent Posts

3/recent/post-list